Serikali ya Kenya chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyattaa iliahidi kuangamiza kabisa tabia ya ukeketaji wa wanawake hapa nchini ifikapo mwaka wa 2022.
Mwanahabari wetu Philip Miyawa alitembelea vijiji vya Kuria katika county ya Migori ambapo tabia hii bado imekita mizizi miongoni mwa jamii na kutathmini juu ya uwezekano wa jamii hiyo kuwachana na mila hii potovu ifikapo mwaka ujao.
Baraza la kitaifa la makanisa hapa nchini NCCK
Kuna haja ya kubadilisha mbinu zinazotumiwa kwa
Mbunge wa Kuria Mashariki Bw. Marwa Kitayama am
Tend karchung' odbura ma Uriri oketo chenro mar
Serikali ya Kenya chini ya uongozi wa Rais Uhur
Baada ya bei ya mafuta kupanda hapa nchini, wak
Nguvu za umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya ki